Kwa miaka 75, kina mama wajawazito wamekuwa wakipewa na serikali
visanduku vya karatasi. Visanduku hivyo vimekuwa vikitolewa kama sehemu
ya vitu muhimu vya mwanzo kwa mtoto atakapozaliwa, kama vile vile nguo,
mashuka na midori, ambavyo pia vinaweza kutumika kama kitanda. Na baadhi
ya watu wanasema vitu hivyo vimeisaidia Finland kufanikiwa kuwa moja ya
nchi ambayo ina viwango vya chini kabisa vya vifo vya watoto duniani.
BBC SWAHILI
No comments:
Post a Comment