HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » PICHA YA LEO: TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HII, TIZAMA WAPENZI WALIOJINYONGA BAADA YA KUKATALIWA KUOANA

Mkasa huu umetokea huko Congo.


Wapenzi hawa wawili waliamua kuchukua jukuma la kujinyonga kwa kujininginiza kwenye mti hadi kufa baada ya wazazi wa mvulana kukataa mtoto wao asimuoe msichana huyo.


Baada ya jitihada zao za kuwashawishi kushindikana basi waliamua kuchukua hatua hiyo ya kujinyonga.Wazazi tuwe makini na maamuzi yetu mbele ya watoto.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: