HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » TAIFA STARS YAKUBALI KIPIGO CHA MABAO 4-2 KUTOKA KWA IVORY COAST

 Nahodha wa Taifa Stars, Juma Kaseja (kushoto) akisalimiana na Didier Zokora, nahodha wa Ivory Coast

 Kiungo machachari wa Taifa Stars,Mwinyi Kazimoto akiwachachafya mabeki wa Timu ya Taifa ya Ivory Cost,wakati wa mchezo wa kuwania tiketi ya kufuzu kucheza Kombe la Dunia,uliomalizika hivi punde kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Taifa Stats imefunga bao 4-2.

 Salum Abubakar 'Sure Boy' akikwaana na Jean Gosso Gosso (kushoto).
 Traore Lacina wa Ivory Coast (katikati) akipiga shuti langoni mwa Stars.
 Amri Kiemba wa Taifa Stars kiondoka na mpira.

 Gervais Yao 'Gervinho' (kushoto) akipiga kichwa mbele ya beki wa Stars, Shomari Kapombe.
 Golikipa wa Timu ya Ivory Cost,Barry Boubacar akidaka mpira ukiokuwa umepigwa na Mshambuliaji Machachari wa Taifa Stars,Thomas Ulimwengu.

 Hekaheka langoni mwa Ivory Coast.
 Mshambuliaji Machachari wa Taifa Stars,Thomas Ulimwengu akiondoka na mpya huku mabeki wa timu ya Ivory Cost wakimfuata kwa kasi ya ajabu bila ya mafanikio.Mpira umekwisha muda mfupi uliopita na na Matokeo ni Taifa Stars 2-4 Ivory Cost.
Huu ulikuwa ni utabiri wa mabango ya Stars. 
 Mashabiki wa Ivory Coast.

Mashabiki wa  Taifa Stars

PICHA NA OTHMANI MICHUZI NA GPL

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: