HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » TAIFA STARS YAPOTEZA MECHI BAADA YA KUFUNGWA MABAO 2-1 NA MOROCCO TIZAMA YALIYOJIRI HAPA

Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakikimbia kuelekea katikati kuanzisha mchezo dhidi ya Morocco baada ya kupata bao katika mechi ya Kundi C kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Dunia mwakani nchini Brazil usiku huu kwenye Uwanja wa Marakech mjini Marakech, Morocco, Wenyeji, Simba wa Atlasi walishinda 2-1. 
Mfungaji wa bao la Stars, Amri Kiemba kushoto akimhamasisha Khamis Mcha 'Vialli' kuepeleka mpira baada ya bao wanze haraka kusaka mabao zaidi 
Mbwana Samatta akiwatoka mabeki wa Morocco
Samatta huyooo
Samattaaaa
Thomas Ulimwengu akifumua shuti
Thomas Ulimwengu akimtoka beki wa Morocco
Samatta akiwatoka mabeki wa Morocco
Samatta alifanya kazi...basi tu haikuwa bahati yake
Samatta alikuwa tishio
Kikosi cha Morocco kilichoifunga Stars 2-1
Watanzania waliokuja kuiunga mkono timu hapa
Mfungaji wa bao la Stars, Amri Kiemba akiwatoka wachezaji wa Morocco
Kikosi cha Taifa Stars
Salum Abubakar 'Sure Boy' akimiliki mpira pembeni ya kiungo wa Morocco
Kevin Yondan akimdhibiti mshambuliaji wa Morocco
Shomary Kapombe akimfukuza winga wa Morocco
Mbwana Samatta alikuwa anakaba pia
Zacharia Hans Poppe kulia
Aggrey Morris alitolewa kwa kadi nyekundu kwa rafu iliyosababisha penalti na bao la kwanza la Morocco
Erasto Nyoni akipambana
Mashabiki wa Tanzania waliofika kuishangilia timu yao

PICHA NA  MUHMLUD ZUBEIRY, MARAKECH

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: