Ndugu wa marehemu wakilia kwa uchungu
Baadhi ya wanafamilia wakiwa na uzuni walipofika uwanjani kuja kuupokea mwili wa marehemu Albert Mangwea
Wanahabari wakiwa kazini
Baadhi ya wasanii waliokuja kuupokea mwili wa marehemu Albert Mangwea
Msemaji mkuu wa kamati ya mazishi akizungumza na vyombo vya habari baada ya mwili wa marehemu Albert Mangwea kufika leo saa nane za mchana
Ndugu wa marehemu wakizungumza na vyombo vya habari
Mwili wa marehemu Albert Mangwea ukiwa umebebwa kuelekea kwenye gari lililokuja rasmi kuubeba mwili huo
Gari lililobeba mwili wa marehemu Albert Mangwea likiondoka uwanjani
Hata wezi nao walikuwepo kijana aliwa amekamatwa na maasikari baada ya kuchomoa pochi
Baadhi ya wananchi waliofika kuushuhudia mwili wa Albert Mangwea
PICHA ZOTE NA PAMOJAPURE BLOG
No comments:
Post a Comment