Gari lililobeba mwili wa marehemu Albert Mangwea likiingia kwenye uwanja wa Leaders Club leo Asubuhi
Gari lililobeba ndugu wa marehemu likiwa linafika kwenye viwanja vya Leaders Club
Hili Ndilo jeneza na msalaba vya marehemu Albert Mangwea
Ndugu wa marehemu wakiwa wamekaa kusubilia watanzania kuuaga mwili wa marehemu Albert Mangwea
Hapa ndipo jeneza lililobeba mwili wa Albert Mangwea litakapokaa
PICHA NI KWA HISANI YA PAMOJAPURE BLOG
No comments:
Post a Comment