Mh. Lema akihutubia wananchi kwenye mkutano uliofanyika hapo jana kwenye uwanja wa SOWETO(Picha na Audiface Jackson)
Mh. Mbowe alifika kwenye mkutano kwa kutumia herikopter
Umati mkubwa wa watu walioudhulia mkutano wa chadema mkoani Arusha
Mh. Mbowe akiingia uwanjani
Mh. Mbowe akielekea kwenye stage kwa ajili ya kuwahutubia wananchi waliokuwa wamefika kwenye mkutano huo.
Mh. Mbowe akitoa saluti kwa wananchi waliokuwa kwenye mkutano huo
Amani Ngolugwa akiongea na wananchi wakati wa mkutano huo wa CHADEMA

Mh. Mbowe akiwahutubia wananchi wakati wa mkutano huo uliofanyika Arusha
Mkutano ukiendelea
Hawa ndio inasadikika ndio walioadhiliwa na mlipuko wa bomu na pia inasadikika kuna baadhi yao walifariki hapohapo
Majeruhi wakiwa wamelala chini baada ya kinachosemekana ni bomu kulipuka
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment