Queen Elizabeth II akiwa anafika kwenye jengo la BBC kwa ajili ya ufunguzi leo
Queen Elizabeth II akiingia kwenye jengo la matangazo la BBC kwa ajili ya ufunguzi leo
Queen Elizabeth II akiwa anaonekana nyuma wakati wa urushaji wa matangazo ya BBC alipokwenda kufungua jengo jipya la urushaji wa matangazo la BBC leo
Mbwa hawa wametumika katika ulinzi wa Queen Elizabeth II alipofika kwenye jengo jipya la BBC
Queen Elizabeth II akitambulishwa kwa wafanyakazi wa BBC alipofika kwa ajiri ya ufunguzi
Hili ndilo zulia jekundu alilokanyaga Queen Elizabeth II alipokuwa anaingia kwenye jengo jipya la BBC kwa ajiri ya ufunguzi rasmi wa urushaji wa matangazo kutoka kwenye jengo ilo leo
Queen Elizabeth II akifafanuliwa jambo
Hiki ni chumba kikubwa cha kurushia matangazo cha BBC
Waandishi wa habari wa BBC walicha kazi zao na kuanza kumpiga picha Queen Elizabeth II alipowasili kwenye jengo ilo leo
SOURCE: BBC
No comments:
Post a Comment