UPDATE ZA MSIBA WA MANGWEA:MWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWEA HAUTAWEZA KUFIKA LEO SIKU YA JUMAPILI

Marehemu Albert Mangwea enzi za uhai wake




Kamati ya msiba tutaanaomba kutoa taarifa kwamba mwili wa marehemu  ndugu yetu Albert Mangea hautafika siku ya jumapili ya tarehe 02/06/2013 kama ilivyokuwa imepangwa hapo awali, hii ni kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wetu.
Kwa sasa tunasubiri taarifa kamili kutoka kwa wenzetu na  wawakilishi wetu waliopo nchini Afrika Kusini, mara tutakapopata taarifa hizo tutawafahafahamisha zaidi
Tunaomba radhi kwawatanzania  wote kwa usumbufu wote uliojitokeza tushirikiane na tuwe na uvulivukwa haki hii

No comments

Powered by Blogger.