Huyu ni miongoni mwa wapiga nondo katika mkoa wa IRINGA akipokea kichapo kikali huku akiwa chini ya ulinzi mkali kuelekea kituo cha polisi, jamaa huyu anayefahamika kwa jina la MASTER, Amekamatwa mara tuu baada ya mwenzake kukamatwa leo hii asubuhi akidaiwa naye kuhusika na uharifu huo. hii imetokea mara tuu baada ya matukio ya namna hiyo kulipotiwa mara kwa mara siku za karibuni.(Picha na Lewis Mbonde)
Wananchi wakiwa hawaogopi askari na wakiendelea kumpa kichapo mharifu huyo uku safari ya kuelekea kituoni ikiendelea(Picha na Lewis Mbonde)
Watu wakiwa wengi kusaka na kuwakabidhi watuhumiwa hao mikononi mwa polisi
Wananchi wakishangaa kilichojili leo mjini Iringa



No comments:
Post a Comment