Agnes Masogange aliipost picha hii akiwa ameandika "SHUT UP AND DRIVE" yuko na mpenzi wake huko Afrika ya kusini.
Kikubwa cha kujiuliza hapa tukae upande gani maana Gazeti la leo la Nipashe limesema Agnes Gerald kwa jina lingine anaitwa Agnes Maasogange ameshikwa na madawa ya kulevya ila muda huu kapost picha tatu na pia akiwatakia waislamu mfungo mwema.
Au kuna mchezo hapa tunachezewa ili isionekane nani muhusika wa jambo ili la madawa ya kulevya. Na pia jina analolitumia kwenye Instagram ni aggnesfineassgirl
KWA MAELEZO YA KUSHIKWA KWA WATANZANIA HAO WAWILI SOMA KWA KUBOFYA HAPA CHINI
NIPASHE/ AFRICA REVIEW/
THE CITIZEN/ALLAFRICA
KWA MAELEZO YA KUSHIKWA KWA WATANZANIA HAO WAWILI SOMA KWA KUBOFYA HAPA CHINI
NIPASHE/ AFRICA REVIEW/
THE CITIZEN/ALLAFRICA
Picha hii aliandika maneno haya "KEEP CALM MSIACHE KUONGEA"
Picha hii Agnes masogange alikuwa anawatakia mfungo mwema kwa ndugu zetu waislamu ambapo alicomment kwa kusema "MFUNGE SALAMA"
No comments:
Post a Comment