RAMADHAN KAREEM
Uongozi wa Pamoja/Pamojapure Blog unawatakia mfungo mwema Waislam wote kokote Duniani, baada ya kuonekana muandamo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani hapo jana jioni ambao ni kiashirio tosha cha kuwaongoza waumini wa dini ya Kiislam kuanza rasmi kufunga mwezi mtukufu wa ramadhan kuanzia leo.

Tag:
No comments:
Post a Comment