Huu ni mkokoteni unaotumika
kusafirisha nyama ya mifugo mbalimbali iliyochinjwa machinjioni na kupelekwa
kwenye mabucha ya kuuzia nyama kiwira wilayani Rungwe
Wahusika mnaliona hili?
Endelea kusoma habari hii kwa kubofya hapa chini
Hii ndiyo hali halisi na
mikokoteni hii ndiyo inayotumika kubeba mizigo mbalimbali ya wateja ikiwemo
mbolea kwa ajili ya matumizi ya mashambani
Mbeya yetu
No comments:
Post a Comment