Ndege ndogo ya shirika la Tanzanair iliyokuwa
ikitokea Bukoba kwenda Dar Es Salaam imelazimika kutua kwa dharura katika ziwa
Manyara baada ya injini yake moja kuzimika ghafla ikiwa angani .Ndege hiyo
ilikuwa na abiria 6 na rubani 1 ambapo wote wamejeruhiwa na kukimbizwa
katika Hospitali ya Seliani Mijini Arusha kwa matibabu.
ITV TANZANIA
ITV TANZANIA
No comments:
Post a Comment