Diamond
Platnumz usiku wa jana alifanya ufunguzi wa video yake mpya katika hoteli ya
Serena na kumpatia zawadi ya gari mstaafu wa msondo ngoma Mzee Muhidini
Gurumo
Diamond
Platnumz akizungumza jambo kwenye uzinduzi wa Video yake mpya
Diamond
Platnumz akimfungulia mlango Mzee Ngurumo ili kuingia kwenye gari yake aina ya Noah
Shoo ikaanza
Endelea kutizama tukio zima kwa kubofya hapa chini
Wadau wakitizama video hiyo
UONGOZI WA PAMOJA/PAMOJAPURE INATOA RESPECT KWA KITU ALICHOKIFANYA DIAMOND
PICHA ZOTE NA TIMES FM
No comments:
Post a Comment