EXCLUSIVE: SIKILIZA NA DOWNLOAD NYIMBO YA DINI YA KIWEWE NA MATUMAINA FT. JANE MISSO - "NIMEPONA" By: VIJIMAMBO on August 22, 2013 / comment : 0 Kiwewe na Matumaina sasa wameingia kwenye muziki baada ya kutoa nyimbo yao iitwayo Nimepona ambayo wamemshirikisha Jane Misso na pia nyimbo hii imerekodiwa kwenye studio ya N.K Production na Producer wa nyimbo hii ni Chris. Nyimbo hiyo isikilize hapa chini Tag: Share ! Facebook Twitter Pinterest Linkedin Whatsapp Whatsapp
No comments:
Post a Comment