HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » KAMA HUJAWAHI KUONA BARABARA INAYOPITA KWENYE MWAMBA WA MLIMA BASI ITIZAME HAPA

Barabara hii ilijengwa na "Austro-Hungarian army" kati ya mwezi wa February na June mwaka 1918 nchini Italia, inakadiliwa wafanyakazi zaidi ya 1400 walihusika kujenga barabara hiyo ambayo ina kilometa 17 na hao wafanyakazi walikuwa wanabadlishana kulingana na masaa waliyokuwa wameweka. Barabara hii imepewa jina la San Boldo Pass kwa lugha ya kiitalia unaitwa "Passo San Boldo". Mlima huo una mwinuko wa mita 706.
Pia kiwango cha juu cha mwendo kasi katika barabara hiyo ni 30km/h na pia ina barabara moja(Single Line)  hakuna kupishana kwa magari.
Mwonekano huu wote huu ni barabara moja

Endelea kutizama picha zaidi kwa kubofya hapa chini




«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: