Hii ni picha ya mtoto Roona
Begum, kabla na baada ya kufanyiwa upasuaji tizama tukio lote hapa toka wanachangisha pesa, mtoto huyu anapelekwa hospitalini na kutibiwa mpaka anarudi nyumbani

Roona Begum akiwa kwenye hospitali kwa ajili ya kusubilia operation ya kichwa kwenye hospitali ya Gurgaon iliyoko New Delhi nchini India
Mama wa mtoto, Fatima Khatun akiwa na mwanae Roona aliyelazwa ili kuangalia uwezekano wa kichwa hicho kukipunguza kwenye hospitali ya Gurgaon iliyoko New Delhi nchini India
Dr Vaishya akimpima mtoto Roona kabla ya kufanyiwa operation ya kupunguza kichwa kwenye hospitali ya Gurgaon iliyoko New Delhi nchini India
Endelea kutizama tukio hili kwa kubofya hapa chini
Roona akiwa amelala kwenye hospitali ya Gurgaon iliyoko New Delhi
Baba mzazi, Abdul Rahman (Kushoto) na mama yake mzazi, Fatima Khatun (kulia) wakiwa hospitalini wakimuuguza mtoto wao Roona kwenye hospitali ya Gurgaon iliyoko New Delhi nchini India
Tizama misuri ya kichwa cha Roona ambayo inaonekana kama kushwa kufanya kazi vizuri kutokana na ukubwa wa kichwa
Mtoto Roona Begum akiwa amelala akisubilia kufanyiwa operation kwenye hospitali ya Gurgaon iliyoko New Delhi nchini India
Madakitari wakianza kazi yao
Baada ya kufungwa vizuri mtoto Roona alipelekwa kwenye chumba cha kufanyia upasuaji
Mama na Baba wa mtoto Roona wakiwa nje ya chumba cha upasuaji wakiwaachia madaktari wafanye kazi yao
Huu ni mwonekano wa kichwa cha mtoto Roona baada ya kukipunguza
Baada ya mtoto Roona kumaliza kufanyiwa upasuaji akipelekwa kwenye chumba maalum kwa ajili ya uangalizi
Baba na mama walipewa nafasi ya kumwangalia mtoto wao baada ya kumaliza kufanyiwa upasuaji
Mama akiwa na mtoto wake hospitalini akisubilia apone vizuri
Mama akiwa na mtoto wake hospitalini akisubilia apone vizuri
Hapa ni baada ya mtoto Roona Begum kupona vizuri akiwa amebebwa na mama yake mzazi
Mama akiwa amembeba mwanane Roona na Baba yake(kulia aliyekaa) wakiwa kwenye picha ya pamoja na jopo zima la madaktari waliohusika katika upasuaji huo wa kichwa cha mtoto Roona Begum kwenye hospitali ya Gurgaon iliyoko New Delhi nchini India
Familia ikiwa imefika kijijini kwao Jirania kusini mashariki mwa India baada ya mtoto wao kupona kuruhusiwa kurudi nyumbani
No comments:
Post a Comment