HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » YALIYOJIRI WAKATI WA KUAPISHWA KWA RAIS WA ZIMBABWE ROBERT GABRIEL MUGABE KUONGOZA NCHI HIYO KWA MIAKA MITANO

  Rais wa Zimbabwe Robert Gabriel Mugabe akivishwa shada na medali baada ya kula kiapo cha kuongoza nchi hiyo kwa miaka mitano ijayo katika sherehe zilizofana sana katika Uwanja wa Taifa wa Michezo wa Harare Agosti 22, 2013

Endelea kusoma habari hii kwa kubofya hapa chini


  Rais wa Zimbabwe Robert Gabriel Mugabe akishukuru wananchi baada ya kula kiapo cha kuongoza nchi hiyo kwa miaka mitano ijayo katika sherehe zilizofana sana katika Uwanja wa Taifa wa Michezo wa Harare Agosti 22, 2013.
  Rais wa Zimbabwe Robert Gabriel Mugabe akisalimia wanannchi baada ya kiapo cha kuongoza nchi hiyo kwa miaka mitano ijayo katika sherehe zilizofana sana katika Uwanja wa Taifa wa Michezo wa Harare Agosti 22, 2013
 JK akimpongeza Rais wa Zimbabwe Robert Gabriel Mugabe katika sherehe za kula kiapo cha kuongoza nchi hiyo kwa miaka mitano ijayo katika sherehe zilizofana sana katika Uwanja wa Taifa wa Michezo wa Harare Agosti 22, 2013

CHANZO: JIACHIE BLOG

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: