Tax iliyogongwa na Scania ikiwa katikati ya barabara na kuzuia magari yote yanayopita barabara ya Mandela maeneo ya Buguruni jijini Dar es Salaam leo jioni
Madrva wa magari hayo wakimsubilia Askari wa Usalama wa barabarani ili aweze kupima ajari hiyo
Bodaboda zikizunguka ili kukwepa foleni hilo maana kulikuwa hakuna hata nafasi ya kupita pikipiki
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Hili ndilo gari lililogonga tax
Hii ndio foleni
Foleni iliyosababishwa na kugongana kwa magari na kufunga barabara









No comments:
Post a Comment