Mama mzazi wa Malisa akiwa na uso wa huzuni.
Dada
wa marehemu (wa tatu kushoto) akilia kwa uchungu baada ya msanii wa
filamu, Chuchu Hansi (aliyeinamisha kichwa) kuingia na kuangua kilio.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Wasanii wakongwe wa filamu, Devotha Mbaga na Vanitha wakilia kwa uchungu.

Waombolezaji wakiwa na nyuso za huzuni.
VILIO
vimetanda msibani kwa msanii wa filamu za Kibongo, Zuhura Maftah
‘Malisa’ aliyefariki dunia jana akiwa hospitali ya Hindu Manndal
alikokuwa amelazwa akisumbuliwa na maumivu makali ya kichwa.
Msiba wa msanii huyo upo nyumbani kwa dada yake Mikocheni na mazishi yatafanyika kesho makaburi ya Kinondoni.
Msiba wa msanii huyo upo nyumbani kwa dada yake Mikocheni na mazishi yatafanyika kesho makaburi ya Kinondoni.
Global Publisher






No comments:
Post a Comment