Gunia la mkaa ambalo kijana mmoja ambae jina lake halikupatikana, alikutwa amelichukua na kutokomea nalo. 
Mwizi
wa gunia la mkaa akiwa amekaa nalo ndani ya gari la polisi mara baada
ya kuokolewa na polisi hao, ili watu wenye hasira kali wasimsulibishe.
Kijana huyo aliiba gunia la mkaa katika bar moja maeneo ya Makao -Mapya
jijini Arusha
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Watu wenye hasira kali waliokuwa wakitaka mwizi wa mkaa ashushwe na polisi ili wamkomeshe kidogo
HABARI NA WAZALENDO 25 BLOG
HABARI NA WAZALENDO 25 BLOG



No comments:
Post a Comment