ESHYA RASHID
JANETH AWET
HAPPINESS WATIMANYWA
CLARA BAYO
DORICE MOLLEL
Endelea kutizama picha hizi kwa kubofya hapa chini
WASHIRIKI
wa shindano la Redd's Miss Tanzania leo watapata fursa ya kumjua mrembo
wa kwanza kuingia katika hatua ya Nusu fainali ya Shindano la Redd's
Miss Tanzania 2013 wakati mrembo mmoja kati ya wanyange hao 30
atakapotajwa mshindi wa Miss Photogenic 2013.
Shindano
hilo no moja kati ya mataji matano ambayo yanashindaniwa na warembo hao
ambapo washindi wake wanapata tiketi ya kuingia Nusufainali ya shindano
hilo litakalo fanyika baadae mwezi ujao.
Miongoni
mwa mataji hayo ni Miss Tanzania Photogenic, Miss Tanzania Top Model,
Miss Tanzania Personality, Miss Tanzania Sports Lady na Miss Tanzania
Talent.
Akizungumza
na Father Kidevu Blog hii leo, Mkurugenzi wa Lino International Agency,
Waandaaji wa Shindano la Miss Tanzania, Hashim Lundenga 'Uncle' amesema
jopo la majaji watatu ambao ni wapiga picha na wanahabari wazoefu wa
masuala ya urembo Tanzania watakaa na kuchagua mshindi huyo kupitia
picha mbalimbali za warembo hao. Mshindi anataraji kutangazwa leo jioni katika hoteli ya Giraffe Ocean View na kujipatia tiketi hiyo.
picha mbalimbali za warembo hao. Mshindi anataraji kutangazwa leo jioni katika hoteli ya Giraffe Ocean View na kujipatia tiketi hiyo.
Taji
la Redd's Miss Tanania Photogenic linashikiliwa na Mrembo Lucy
Stephano aliyelitwaa mwaka 2012. Wafuatao ndio warembo watakao wania
taji hilo hii leo.
PRISCA PAUL
LUCY TOMEKA
SEVERINA LWINGA
SABRINA JUMA
MIRIAM MANYANGA
LINA ALLAN
LUCY JAMES
GLORY STEPHEN
NEEMA SHAYO
ALICE ISAACK
SARAH PAUL
PHILLIOS LEMI
NANCY MOSHI
JACLINE LUVANDA
DIANA LAIZER
LUCY CHARLES
SVETLANA NYAMEYO
NARIETHA BONIFACE
MARY CHEMPONDA
NICE JACK HERMAN
ANASTAZIA DONALD
NEEMA MALITI
ELIZABETH PERTY
No comments:
Post a Comment