HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » YALIYOJIRI KWENYE TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 MKOANI MTWARA KWA MARA YA KWANZA


Mmoja wa wasanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya,Baba Levo akiwaimbisha wakazi wa Mtwara wimbo wake uitwao Polisi,usiku wa jana ndani ya tamasha la Serengeti Fiesta 2013.
Msanii aliyeibuka kwa kasi hivi sasa katika muziki wa Bongofleva,aitwaye Snura akionesha staili ya Kuvurugwa jukwaani usiku wa jana.
Anaitwa Linah kutoka nyumba ya vipaji ya THT,akiimba jukwaani mbele ya umati wa wakazi wa Mtwara waliojitokeza usiku wa jana kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2013.
Kijana mdomo,lakini anaonekana kuja kwa kasi kabisa katika anga ya muziki wa kizazi kipya,hasa hip hop,aitwa kwa jina la kisanii Young Killer kutoka jijini Mwanza,akitumbuiza usiku wa jana mkoani Mtwara kwenye tamasha la Serengeti fiesta 2013.

Endelea kutizama tukio hili kwa kubofya hapa chini


Ni shangwe za kutosha usiku wa jana ndani uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara.
Baadhi ya Wakazi wa mkoa wa Mtwara na vitongozji vyake wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2013,ndani ya uwanja wa Nangwanda Sijaona usiku wa jana.
Anaitwa Dj Mully B akionesha umahiri wake wa kukamua mangoma mbele ya maelfu ya wakazi wa mji wa Mtwara waliojitokeza kwa wingi kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2013 usiku wa jana.
Mashabiki wa tamasha la burudani la Serengeti Fiesta 2013 wakifuatilia kwa makini yanayojiri kwenye tamasha hilo usiku wa jana ndani ya uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara,ambapo wakazi wa mkoa huu kwa mara ya kwanza walishuhudia live tamasha hili ambalo hufanyika mara moja kwa mwaka.
Wakishangweka safi kabisa usiku wa jana.
Ni burudani ya kutosha kabisa usiku huu ndani ya tamasha la serengeti fiesta ambapo maelfu ya watu wamejitokeza kuburudika ndani ya uwanaj wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: