HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » TIZAMA TUKIO HILI KATIKA PICHA ILIVYOKUWA KWENYE OPERESHENI KIMBUNGA MKOANI KAGERA

Watuhumiwa wa uhamiaji haramu wakiwa katika kambi ya Kagemu nje kidogo ya manispaa ya Bukoba wakisubiri kuhojiwa
Anaonekana Mkuu wa Oparesheni Kimbunga kwa upande wa Idara ya Uhamiaji Mkoani Kagera  DCI. Mvano Abdu akiwa msituni pamoja na makamanda wakati wa zoezi la Oparesheni Kimbunga likiendelea

Maofisa uhamiaji  wakiwajibika
Wahamiaji haramu wakisubiri kurudishwa makwao katika kambi ya Biharamulo

 ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI


















































Wahamiaji raia wa Rwanda wakipata chai hapa ni katika kambi ya Kagemu nje kidogo ya Manispaa ya Bukoba
Askari akihakikisha kila mhamiaji anapata haki yake bila kusumbuliwa








Habari hii ni Kupitia Bukobawadau na picha kwa hisani ya Mwanahabari Dullah kutoka mipakani mkoani Kagera

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: