Mzee akilia baada ya kaka yake kufariki kwenye kanisa lililoko Peshawar nchini Paksitan baada ya kulipuliwa na bomu
Mama akiwa ameokolewa kutoka kwenye kanisa hilo lililolipuka bomu siku ya jumapili
Kijana mmoja akiwasiliana na ndugu kwa kutumia simu ya mkononi baada ya mlipuko huo kutokea kwenye kanisa lililoko Peshawar nchini Paksitan
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Mama akiwa kainamisha kichwa kwa masikitiko baada ya kanisa hilo kulipuliwa siku ya jumapili huko Peshawar nchini Paksitan
Mama akilia baada ya kumpoteza mwanae pamoja na mume wake baada mlipuko kutokea kanisani huko Peshawar nchini Paksitan 

Wananchi wenye hasira kali wakimtoa Askari kwenye eneo la kanisa hilo lililolipuliwa
Maandamano yalifanyika ili kupinga ukatili uliofanywa dhidi ya wakristu nchini Pakstani
SOURCE: YAHOO















No comments:
Post a Comment