HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » YALIYOJILI KWENYE SHOO YA AZONTO KWENYE VIWANJA VYA CHUO CHA USTAWI WA JAMII

 Mwanamuziki Nana Richard Abiona 'Fuse ODG' akiwapagawisha wakazi wa jiji la Dar.
Akipiga saluti kwa mashabiki waliofurika katika Viwanja vya Chuo cha Ustawi wa Jamii Kijitonyama usiku wa kuamkia leo.
 Wasanii wa muziki wa kizazi kipya ambao wako chini ya lebo ya Bihts wakiongozwa na Mabeste katika jukwaa la Viwanja vya Ustawi wa Jamii jana ndani ya shoo ya Azonto.
 Msanii Vanessa Mdee pamoja na Gosby wakiwa jukwaani jana katika usiku wa Azonto
 ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI



 Wasanii wa muziki wa kizazi kipya ambao wapo katia lebo ya Bihts, mbele yao ni Vanessa Mdee mara baada ya kumaliza shoo yao jana usiku katika usiku wa Azonto
 Msanii Snuara anayetamba na kibao cha Majanga ambapo hivi karibuni ametoa ngoma nyingine inayokwenda kwa jina la Nimevurugwa akitumbuiza jana katika viwanja hivyo kabla ya kupanda jukwaani msanii Fuse ODG
Snura akicheza sambamba na wacheza shoo wake jukanii hapo
Aika & Nahreel wanatoa burudani nzuri jukwaani.
On stage, 'jux' means busines
Banana akiwa na Band yake jukwaani
'Menina' anatoa burudani kali jukwaani.
'Wakazi' anatoa burudani sasa hivi jukwaani.
Watu walikuwa wa kutosha
Fuse akiperform
Gosby akiwa jukwaani akitoa burudani kali.
H Baba' sio mchoyo, katoa pete.
H Baba' sio mchoyo, katoa pete.
M Rap Lion kutoka 'B Hit's Music Group' akitoa burudani kali jukwaani.
M Rap Lion na Dj Choka wakitoa burudani jukwaani
Madee na Chid Benz wakitoa burudani kali
Vanessa Mdee na Gosby wakitoa burudani kali jukwaani..!!!!!!
snura akitoa burudani moja kali
Tunda Man akitoa burudani kali
Walter Chilambo akitoa burudani kali jukwaani
Watu walikuwa ni wakutosha

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: