HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » JAMALI MALINZI RAIS MPYA TFF

 JAMALI Malinzi amechaguliwa kuwa Rais Mpya wa TFF baada ya kumpiku mpinzani wake Athuman Nyamlani katika uchaguzi mkuu uliofanyika leo na kubalizika usiku huu. Uchaguzi huo, uliotawaliwa na kashkashi za hapa na pale, ulifanyika katika ukumbi wa NSSF WATER FRONT

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: