Mshambuliaji wa Simba, Betram Mwombeki akiwatoka mabeki wa Azam FC.
 Ramadhani Singano (kushoto), akimtoka David Mwantika.
 Wachezaji
 wa timu ya Azam wakishangilia bao la pili la timu yao baada ya kuifunga
 Simba 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara 
uliofanyikakwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Azam imeshinda 
2-1. 
 Mashabiki wa Simba wakiwa wameduwaa huku wakifuatilia mchezo kati ya Simba na Azam FC.
Beki
 wa Azam FC, David Mwantika (kulia), akichuana na mshambuliaji wa Simba,
 Ramadhani Singano katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara 
uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Azam 
imeshinda 2-1. 
 Kipa wa Azam FC, Mwadin Ali akidaka mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba, Sino Augustino.



No comments:
Post a Comment