Kiwanda cha Ok Plast kilichopo Vingunguti Dar es Salaam kinaungua moto.Habari za awali zinasema moto huo umesababishwa na kijana aliyekuwa anachoma mabaki ya plastiki kando ya ghala la kiwanda hicho.
-
Habari ,Maisha ,Jamii ,Burudani ,Michezo
Tag:
Copyright (c) 2024 Gadiola Emanuel All Right Reserved
0784 643 633
No comments:
Post a Comment