HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » ANAMTAFUTA BABA YAKE MZAZI WALIYEPOTEZANA NAYE MUSOMA.

Jina langu ni Cosmas Hans Moses(22) na dada yangu anaitwa Aneth Hans Moses(24), kwa sasa naishi mwanza. Ninaemtafuta ni Baba yetu mzazi anaitwa Hans Moses Mwakyusa, zamani alikua anaishi Kiabakari Musoma vijijini na huko ndiko tulikopotezana mimi nikiwa mdogo kabisa kwa hiyo simfaham hata nikimuona... Kwa sasa nasikia anaishi Kyela Mbeya pia ni mfanya biashara ila cjui anafanya biashara gani.Naomba msaada wenu ili niweze kuonana tena na baba yangu mzazi mawasiliano yangu ni 0765-684572

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: