Basi aina ya Ngorika limepata ajali leo asubuhi mbele kidogo ya eneo la Chalinze. Basi ilo lilikuwa linatokea Dar es salaam na kwenda Arusha kwa taarifa za mwanzo kutoka eneo la tukio zinasema hakuna mtu aliyefariki dunia. Kwa habari zaidi tutakupatia hivi punde
-




No comments:
Post a Comment