HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » HIVI NDIVYO BWENI LA WASICHANA WA SHULE YA SEKONDARI LUPATA LILIVYOWAKA MOTO .

 Bweni la wanafunzi wa kike katika shule ya Sekondari ya Lupata wakiwa wanashuhudia Jinsi bweni hilo likiwaka moto kwa kasi huku wengine wakiwa wanaendelea kuzima.
 Mwenye Ndoo Hayaaa. Mwenye Mchanga hayaa .. walio simama hayaa.. hii ilikuwa ni kazi ya kufanya uokozi wa Bweni hilo.

ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI

 
 Hivi ndivyo Moto ulivyokuwa unazidi kuwaka huku wakifanya juhudi za kuzima moto huo, ambao ulikuwa unawaka kwa kasi.
Vijana wakiwa wanafanikiwa zoezi la kuzima moto huo huku kila mmoja akiwa anaongeza juhudi za kuzima Bweni hilo.

Tukio Hili la kusikitisha lilitokea tarehe 29.10.2013 Katika Halmashauri mpya ya Busikelo Wilayani Rungwe, ambapo Bweni hilo liliwaka Moto mkubwa na kusababisha uharibifu wa Mali za wanafunzi na shule kwa ujumla .

Picha zote na Juma Nalim- Mbeya yetu Blog

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: