Mkuu wa mkoa, Dr Rehema Nchimbi akiwahutubia wananchi wa mkoa wa Dodoma waliohudhuria maadhimisho ya siku ya kilele cha mlipa kodi yaliyofanyika leo.(PICHA NA JOHN BANDA)
Meneja wa Mamraka ya mapato mkoa wa Dodoma Thadeo Kaliza akifafanua jambo kwa wakazi wa mji huo waliohudhulia ili kushuhudia kilele cha siku ya mlipa kodi yaliyofanyika katika viwanja vya nyerere squere.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Mkuu wa mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi akiwa na Meneja wa Mamraka ya mapato mkoa Thadeo Kaliza kushoto na Meya wa manispaa hiyo Emanuel Mwiliko walipokuwa kwenye maadhimisho ya Kilele cha siku ya mlipa kodi yaliyofanyika katika viwanja vya Nyerere.
Mkuu wa mkoa wa Dodoma Drk Rehema Nchimbi akimkabidhi cheti
Mfanyabiashara anayemiliki vituo kadha vya mafuta Karlim Azizi Banji,
katika maadhimisho ya kilele cha siku ya mlipa kodi Nchini cheti hicho
kilitolewa na mamraka ya mapato mkoani Dodoma kamai kielelezo cha kulipa kodi
anayechangia pato la taifa.
Dr. Rehema Nchimbi akimkabidhi cheti cha mlipaji kodi Bora kwa wafanyabiashara wa kati muwakilishi wa Duka la vitabu la Victory Bookshop LTD Sameera Ismail Dawood kwenye maadhimisho hayo.
Wafanyakazi wa Mamraka ya mapato Mkoa wa Dodoma wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali walihudhuria maadhimisho ya kilele cha siku ya mlipa kodi yaliyofanyika leo mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment