Gari
lenye namba za usajili T888 BWW aina ya Cresta mali ya Vaileth
Mathias, likiwa chini ya ulinzi wa polisi, baada ya Violet Mathias kupigwa
risasi na polisi juzi baada ya kukaidi amri ya kuegesha gari sehemu
muhimu ya benki na kumtishia kwa bastora askari aliyukuwa zamu kwenye benki hiyo.
Post a Comment