HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » RAY C NA RECHO HAWAFANANI SAUTI TU, WANAFANANA SURA PIA, SOMA JINSI MASHABIKI WANAVYOSEMA NI KAMA MAPACHA

 Mara ya kwanza tu Recho alipoanza kusikika, sauti yake ilianza kufananishwa na ya Ray C. Kuanzia kwenye Kizunguzungu, Upepo na Nashukuru Umerudi, Recho alikuwa Ray C mtupu.
Hata hivyo hiyo haikumsumbua, Ray C ambaye alisema kuwa ni faraja kumsikia Recho akiimba kama yeye na tangu hapo wamekuwa marafiki.
Lakini wawili hawa, hawafanani sauti tu. Picha hii (hapo juu) iliwekwa na Ray C kwenye Instagram na wengi walidai kuwa, warembo hao wanafanana kama mapacha vile.
 ENDELEA KUSOMA COMMENT ZAID KWA KUBOFA HAPA CHINI


 
 

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: