HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » GARI AINA YA TOYOTA HILUX LAGONGA TREINI MKOANI DODOMA MJINI

 
  Gari aina ya Toyota Hilux lenye namba za usajili T697 BNB likiwa vibaya kutokana na kugonga treni ya abiria kwa mbele iliyokuwa ikitokea mikoa ya kanda ya ziwa. barabara ya iringa Dodoma
Asikari wa usalama barabarani wakiandika maelezo kaza baada ya kuyakusanya kwa mashuhuda walioishuhudia ajali ya Gari Dogo aina ya Toyota Hilux lililogonga treni ya abiria kwenye injini ajili hiyo imetokea jana saa 11;30  katika barabara ya Dodoma Iringa. 


ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI



Injini ya Gari hilo inavyoonekana.
 Wananchi wa manispaa ya Dodoma wakilishangaa Gari lililogonga Treni likiwa limehalibika vibaya baada ya injini yake kuharibiwa vibaya nahuku Dereva akiwahishwa hospital akiwa hajitambui.
 Sehemu ya Barabara hiyo inavyoonekana huku ikiwa haina alama yoyote ya tahadhari
Asikari wa usarama barabarani akiwa karibu na Gari hilo baada yakuondolewa toka kwenye gema lililoinusuru isitumbukie chini ya Daraja ilipotokea ajali hiyo.

PICHA NA JOHN BANDA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: