HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » LUIS SUAREZ ASAINI MKATABA WA MUDA MREFU KUICHEZEA LIVERPOOL

 Luis Suarez (26) ambaye ni raia wa Uruguay akisaini mkataba wa kuichezea Liverpool kwa mkataba wa muda mrefu leo kwenye clabu ya timu hiyo yenye makazi yake Liverpool. Pia mchezaji huyo kaishaifungia timu yake ya Liverpool mabao 17 kwenye ligi kuu ya Uingereza.
 Hapa ni furaha kwa Luis Suarez  baada ya kusaini tena mkataba wa kuichezea livepool

ENDELEA KUTIZAMA PICHA ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINI





«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: