HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » SPIKA WA BUNGE MH. ANNE MAKINDA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI LEO‏

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi Bungeni Dodoma hiyo. Kamati hiyo imekaa leo kupitia ratiba ya shughuli zitakazokuwemo kwenye mkutano wa 14 wa Bunge ulioanza leo. Kushoto ni Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah.
Wajumbe wa Management ya Bunge ambao ni Maafisa wa Bunge wakifuatilia kwa umakini kikao hicho cha kamati ya Uongozi. 
Picha na Owen Mwandumbya

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: