HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » TAARIFA ZILIZOENEA KWANYE MITANDAO YA KIJAMII ZINAZODAI KUWA MZEE SMALL KAFARIKI SI ZA KWELI BALI NI UONGO


Kuna taarifa zimeenea usiku huu kuwa Mzee Small kafariki, hizo taarifa si za kweli bali ni uongo mtupu ulio sambazwa mitandaoni. 

Tumeweza kuongea na mtoto wake usiku huu aitwae Mahamoud na kuthibitisha kuwa baba yake yu hai hajafariki.  "baba yu mzima na wala hajafariki kwani nimetoka kumjulia khali mda si mrefu na ni mzima anaendelea vizuri na hizo taarifa ni za uongo "

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: