HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » YALIYOJIRI KWENYE ZIARA YA DR. SLAA KIJIJI CHA JANDA, KIGOMA

Dr Slaa akihutubia wananchi wa kijiji hicho, ukiwa ni mkutano wake wa kwanza kwa leo
Ziara inaendelea, hapa ni Kijiji cha Janda, Jimbo la Manyovu, wilayani Buhigwe, mkoani Kigoma. Jana ilikuwa ni siku ya 5, mikutano 10 hadi sasa, majimbo 5 kati ya 8 ya mkoa wa Kigoma. Mkutano wa pili unaendelea eneo la Mnanila, Jimbo la Manyovu, wilayani Buhingwe.
Dkt. Slaa anajumuika kucheza ngoma ya wenyeji waliomkaribisha kwa bashasha

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: