HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » BOMU LAKUTWA KANDOKANDO YA BARABARA JIJINI DAR ES SALAAM

Bomu la kutupwa kwa mkono likiwa limechimbiwa chini katika makutano ya barabara ya Morogoro na Shekilango jijini Dar es Salaam jana.
 Polisi waliimarisha ulinzi katika eneo hilo.

ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI

 Watu wakishangaa katika eneo la tukio. 
 Polisi wakichimbua chini kutoa bomu lililokuwa limefukiwa chini.
 Polisi wakiweka  uzio leo katika makutano ya Barabara ya Morogoro na Shekilango jijini Dar es Salaam, baada ya kugundulika kuwepo kwa bomu katika eneo hilo.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: