HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » BREAKING NEWS: REPOTI YA CAG YAMWAJIBISHA MEYA WA MANISPAA YA BUKOBA, ANATORY AMANI

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Ludovick S.L. Utouh. akisoma ripoti ya CAG kwenye halmashauri ya mansipaa ya Bukoba leo.
 
 Naibu waziri wa TAMISEMI, Mh. Aggrey Mwanri akizungumza wakati wa ripoti ya CAG kwenye manispaa ya mji wa bukoba leo 

 ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI

 
Mkuu wa Mkoa wa Kagera,Kanali Mstaafu Fabian Massawe  akizungumza kwenye kikao hicho
 Wa kwanza kulia ni Meya wa  Manispaa ya Bukoba, Bwana Anatory Amani aliyewajibishwa kwenye ripoti ya CAG na pia inamtaka ajiuzuru
Kikao kikiendelea


PICHA NA BUKOBAWADAU BLOG

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: