HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » RAIS KIKWETE NA MAKAMU WAKE WATOA POLE MSIBA WA ASKARI WA USALAMA BARABARANI

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhUJLJnveDOvKaiHioXK3GFLZdbvXVRR7AuJ32DgpiQK4XNhVGCdJjyDBkEqRz58zbISPte1rGC3R3v62-uMUl97yQAvRToMTrG3OBc2KRElqRLkTDXXHRdJrWzQK2gWWAYnWweGQRDXWkM/s1600/n3.jpg 
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweha saini kitabu cha maombolezo alipokwenda kuhani msiba wa Askari wa Usalama Barabarani aliyegongwa na gari baada ya msafara wa Rais kupita jana WP 2942 Koplo Elikiza nyumbani kwa marehemu sehemu za Ununio  (Picha na Ikulu)
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwafariji mume wa marehemu na watoto pamoja na IGP Saidi Mwema alipokwenda kuhani msiba wa Askari wa Usalama Barabarani aliyegongwa na gari baada ya msafara wa Rais kupita jana WP Koplo Elikiza nyumbani kwa marehemu sehemu za Ununio
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa mkono wa pole  mume wa marehemu alipokwenda kuhani msiba wa Askari wa Usalama Barabarani aliyegongwa na gari baada ya msafara wa Rais kupita jana WP Koplo Elikiza nyumbani kwa marehemu sehemu za Ununio
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka saini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa askari wa Usalama Barabarani, WP Elikizaeli Lokisa Nnko, aliyefariki dunia kwa kugongwa na gari na dereva ambaye hadi sasa hajajulikana wakati akiwa katika majukumu yake ya kikazi eneo la Bamaga Mwenge jijini Dar es Salaam jana.Picha na Ofisi ya Makamu Wa Raisi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimfariji Prince David, mtoto wa aliyekuwa askari wa Usalama Barabarani, marehemu WP Elikizaeli Lokisa Nnko, aliyefariki dunia kwa kugongwa na gari na dereva ambaye hadi sasa hajajulikana wakati akiwa katika majukumu yake ya kikazi eneo la Bamaga Mwenge jijini Dar es Salaam jana.
Kutoka (kulia) ni Mume wa Marehemu, David Erasto Luharara, watoto wa marehemu, Prince David na Abdulhaman David, wakiwa na huzuni.

Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu kuomboleza msiba huo.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: