
Mapacha wakikuwa watakuwa mamodel ukipitia picha unaweza kujifunza kitu
Huyu akikuwa ni mcheza Rugby


Hapa wa nyuma akikua atakuwa Dr na wa mbele atakuwa Prof.
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI

Hapa hata wewe unajua akikuwa atakuwa nani

Huyu nae habari ndiyo hii live bila chenga unaweza kujua tu.

Huyu akikua atakuwa reporter

Na huyu akikua atakuwa padri

Akikua atakuwa Actress

Engineer wa kesho huyo

Huyu akikua hata kuwa bartender

Akikua atakuwa judge

Akikua atakuwa Nurse

Hapa ndiyo Sociology wetu




No comments:
Post a Comment