MKURUGENZI wa zamani wa Utawala na Utumishi (DPA)
wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba ameshinda kesi ya kukutwa na
simu gerezani iliyokuwa inamkabili hivi punde katika Mahakama ya Hakimu Mkazi
Kisutu jijini Dar es Salaam. Liyumba ameshinda kesi hiyo baada ya upande wa
Jamhuri na mchunguzi wa kesi hiyo kushindwa kuithibitishia mahakama kuhusu
tuhuma hiyo. Hukumu hiyo imesomwa na Hakimu Mkazi, Augustina Mmbando kuanzia
saa 3:30 mpaka 4:20 asubuhi.
-




No comments:
Post a Comment