HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » OXFAM YAZINDUA MKAKATI WA KUPUNGUZA ATHARI ZA TABIA NCHI KWA WAKULIMA

Kutoka Kushoto ni Marc Wegerif ambaye ni Economic Justice Campaign , Fazal Issa Afisa wa  Miradi na Eluka Kibona Meneja wa Ushawishi  Wote kutoka OXFAM
Meneja wa Ushawishi kutoka Oxfam Eluka Kibona akizungumzia mabadiliko ya Tabia nchi jinsi yanavyo athiri katika Kilimo

 ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Marc Wegerif economic justice Campaign Manager kutoka OXFAM akizungumzia juu za ya haki za wanawake katika kumiliki Ardhi na kuitumia ipasavyo kuzalisha Chakula , pamoja na umuhimu wa Bima ya Mazao
Fazal Issa Afisa Miradi kutoka OXFAM akizungumzia juu ya Magonjwa ya mazao pamoja na upatikanaji wa chakula ili kuweza kupunguza maswala ya njaa ambayo ni Tatizo kwa Jamii.

Afisa utetezi wa haki za kiuchumi wa OXFAM Mkamiti Mgawe akijibu maswali kutoka kwa waandishi wa Habari na kuelezea Mikakati pamoja na mipango Endelevu ya OXFAM


Mmoja wa waandishi wa Habari Dotto Kahindi akiuliza swali wakati wa Mkutano huo mfupi

Baadhi ya waandishi wa Habari wakiwa wanafuatilia kwa makini kikao hicho

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: