HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » WATU WAWILI WAPOTEZA MAISHA NA SABA WAMEJERUHIWA KATIKA AJALI YA BASI NA BODABODA MKOANI LINDI

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiDtfze7_OvAm-_lPe9kepVP5qqVT4Vxph9zJQGG2ZBF9UBYRMWkuaLLHZRWxrIDZeDq2NtMNBDON8YiADk8U7BMv_tNmV5FckKSIZORjOS2K2I10doCStQlIhwgEJuWJX5n7VSocqSZvDx/s1600/6c860f6e21505f03e949e445344bc6c8.jpgWatu wawili wamefariki dunia jana baada ya bodaboda yenye usajili namba T 293 ARM kugongwa na basi la abiria la kampuni ya Maning Nice lenye usajili namba T624 CQD ambalo nalo lilipinduka baada ya ajali hiyo katika kijiji cha Ngongo mkoani Lindi  na abiria saba walijeruhiwa. Majina ya marehemu na ya majeruhi hayakuweza kupatikana mara moja. Picha na Abdulaziz Video.


 Wanausalama wakiwa eneo la ajali iliyotokea jana ikilihusisha basi la kampuni ya Maning Nice na bodaboda moja ambayo iligongwa na kuburuzwa pembeni eneo moja linaitwa Ngongo mita chache kutoka Lindi mjini.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: