HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » VIONGOZI WA MKOA WA DODOMA WAENDELEA KUTOA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA ASKOFU GODFREY MDIMI MHOGOLO WA DAYOSISI YA CENTRAL TANGANYIKA

 Mkuu wa Mkoa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha askofu wa tano (5) wa Dayosisi ya Central Tanganyika katika huduma (1989 - 2004) Askofu Godfrey Mdimi Mhogolo kilichokea Alhamis Machi 27, 2014 huko nchini Afrika Kusini alikokuwa akitibiwa, Mazishi yanatarajiwa kufanyika Jumamosi April 5, 2014 kanisa kuu Anglican Dodoma.
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Bw. Lephy Benjamin Gembe akitia saini kitabu  cha maombolezo ya kifo cha askofu wa tano wa(5) wa Dayosisi ya Central Tanganyika katika huduma  (1989-2014) Askofu Godfrey Mdimi Mhogolo kilichokea  Alhamis Machi 27, 2014 huko nchini Afrika Kusini alikokuwa akitibiwa.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: