HIVI UNAJUA NI KWANINI KUNA TATIZO LA KUTOKWA JASHO MIKONONI NA MIGUUNI, BASI SOMA HAPA

 Ugonjwa huu unaitwa HYPERHIDROSIS.

Kawaida tunatoka jasho ili kuupoza mwili.Mwili unapokuwa na joto nervesystem inatuma ujumbe automatic kwenye sweatglands ili kupunguza joto.Unapokuwa na hyperhydrosis hizi nervesystem zina kuwa zinafanya kazi pasipo na mpangilio na zinatuma ujumbe wakati wote kwahio jasho linatoka hata kama mwili hauna joto.

Hali hio pia inaweza kusababishwa na mtu kuwa na sukari ya chini,hyperthyroidism au side effects za dawa.
Zipo njia tofauti za kutibu kama

  1. Aluminium chloride solution ambayo unaweka kwenye viganja vya mikono na miguu.
  2. Potassium permanganate.
  3. Nimeshawahi kuona botox ikitumika pia lakini ni tiba ya muda hali hio hujirudia.
  4. Iontophoresis:Njia inayotumia kupitisha maji chini ya ngozi kwa kutumia umeme.
  5. Upasuaji kwenye nerve ambazo zinahusika na jasho.
    Hizo njia nilizokutajia zinapunguza dalili za ugonjwa huo lakini haziondoi tatizo,njia kama za upasuaji na umeme sidhani kama zinatumika!

No comments

Powered by Blogger.